GET /api/v0.1/hansard/entries/1482457/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482457,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482457/?format=api",
"text_counter": 299,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": "Jambo lingine ni hili. Nilikuwa Mbunge katika East African Community (EAC) kwa kipindi cha miaka mitano. Nilikuwa na Hon. Jematiah, ambaye ni dada yangu. Katika kipindi hicho cha miaka mitano, sikuwahi kusikia Hon. Jematiah akiwa Malaya, lakini Naibu wa Rais alisimama akasema kwamba Hon. Jematiah ni malaya. Kama Hon. Mpuru Aburi, nina support Naibu wa Rais aende nyumbani."
}