GET /api/v0.1/hansard/entries/1482900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482900,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482900/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante Mhe. Spika. Nami pia ningependa kutoa malalamishi yangu kwa sababu Petitions and Requests for Statements zangu zingine zimekaa zaidi ya miezi minane. Wengine waliokuja nyuma wamepata majibu lakini bado nangoja. Inaonekana kama Mama Mombasa sifanyi kazi. Jambo hili limenisumbua sana. Sijui kuna shida ipi kule Table Office . Ahsante sana."
}