GET /api/v0.1/hansard/entries/1483075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483075,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483075/?format=api",
    "text_counter": 239,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "sehemu moja ambayo tulikuwa tukiita Kenya National Library Services . Tulikuwa tunapata muda, hata kama hatuna vitabu nyumbani. Kulikuwa na sehemu ambayo tunaweza kwenda tukakaa, tukasoma na kuboresha elimu yetu. Hata yule mtoto wa maskini alikuwa anapata nafasi ya kusoma, kwa sababu wengine wao wanashindwa hata kununua taa. Tulikuwa tunaenda kule library na tunapata kuna sehemu mbalimbali kama: Science, Agriculture, HomeScience and Arts ."
}