GET /api/v0.1/hansard/entries/1483078/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483078,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483078/?format=api",
    "text_counter": 242,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "zote. Constituency zingine ziko mbali sana, na inakuwa ni mbali sana kwa mtoto kusafiri kutoka kwao kwenda kwingine. Kwa hivyo, ingekuwa bora kila Mbunge awezeshwe kupata library katika constituency yake. Na isiwe tu ya kuitwa library, bali ifadhiliwe na vitabu vya kutosha na kuwekwa kompyuta. Iwekwe kila kitu ambacho kinahitajika na mwanafunzi kujikwamua na kupata elimu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}