GET /api/v0.1/hansard/entries/1483079/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483079,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483079/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa Muda, haswa wakati wa likizo, watoto wetu wanaingia kwenye kamari, madisko na sehemu ambazo sio nzuri. Kwa hivyo, tukiweza kupeleka hayo maktaba kule mashinani watoto waweze kujifunza na kujituma, ata ile hadhi ya elimu itapanda juu. Lakini kila kitu ambacho kinapangwa na Serikali lazima kiwe na mpangilio mzuri wa kuweza kukimiliki na kuendeshwa vizuri ili watoto wetu wakitaka kupata pale faida, kusiwe na changamoto."
}