GET /api/v0.1/hansard/entries/1483080/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483080,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483080/?format=api",
"text_counter": 244,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mambo mengi yanatendeka katika vijiji, na kuna familia nyingi maskini ambazo haziwezi kununua vitabu. Kwa wakati huu nchini, tunataka watoto wetu wajitume. Wanafaa kufanya research ili wajue mambo mengi. Hivi majuzi, tulizungumzia mambo ya Konza City na zile digital hubs ambazo tunataka zienee Kenya nzima, ili watoto na vijana wetu wapate mwanya wa kujituma. Tungependa wajiweke katika mfumo wa elimu ambao sio wa kutegemea tu mwalimu darasani, bali waweze kuingia libraries na kujiboresha katika elimu. Hivi majuzi, nililetewa barua na shule tofauti tofauti za Mombasa Kaunti. Jomvu Girls’"
}