GET /api/v0.1/hansard/entries/1483082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483082,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483082/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "iliomba kujengewa library kwa sababu hii ni sehemu ambayo wanahitaji sana. Wengine wanaweza kusema hawaoni umuhimu wake, lakini kama Mama Mombasa, ninaona kuna umuhimu. Library zipelekwe hadi kwenye constituencies na sio tu kwenye kaunti. Mhe. Wanyama amefikiria kitu kizuri sana na kukileta Bungeni. Tukipitisha Mswada huu, uanzishaji wa maktaba utaendeshwa vizuri bila bughudha."
}