GET /api/v0.1/hansard/entries/1483083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483083,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483083/?format=api",
"text_counter": 247,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mswada huu ni mzuri sana, na ninaomba Wabunge wenzangu tumuunge mkono mwenzetu ili tuwapatie watoto wetu mwanya wa kusoma. Kwa hivyo, namuunga Mhe. Wanyama mkono. Tuendelee kushika kasi na kuwapa watoto wetu nafasi na kuboresha elimu yao kwa sababu ndio uti wa mgongo wa taifa lolote. Lazima mtoto awe na elimu ya kutosha, awe maskini au tajiri. Ni lazima tuhakikishe kwamba watoto wetu wanapata elimu. Kwa hayo machache, ningependa niachie wenzangu waweze pia kuchangia."
}