GET /api/v0.1/hansard/entries/1483089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483089,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483089/?format=api",
"text_counter": 253,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Farah Maalim",
"speaker_title": "Spika wa Muda",
"speaker": {
"id": 16,
"legal_name": "Farah Maalim Mohamed",
"slug": "farah-maalim"
},
"content": "Nenda kule mbele ndio wanafunzi kutoka sehemu yako waweze kukuona ukiwapa mawaidha. Nenda kule Dispatch Box or anywhere they can see you . Pahali popote wanaweza kukuona. Endelea. Mpatie Mhe. Rachael microphone awakaribishe wanafunzi kutoka Mbooni."
}