GET /api/v0.1/hansard/entries/1483187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483187,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483187/?format=api",
    "text_counter": 351,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Kwa mfano, pale Lamu Town kuna sheria kwamba huwezi kujenga nyumba iliyo zaidi ya gorofa tatu karibu na bahari. Lakini utaona mtu akikandamizwa na sheria hii. Lazima tutumie utamaduni huu kwa sababu ya makavazi na historical sites . Naomba hii Kamati hata kama Mwenyekiti hayuko hapa, wazingatie sehemu ile ndiyo wapate fidia fulani ili wazidi kuhifadhi na kuweka kumbukumbu vizuri. Maanake maktaba na"
}