GET /api/v0.1/hansard/entries/1483189/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483189,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483189/?format=api",
    "text_counter": 353,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "hizo ni kumbukumbu. Zimewekwa na kaunti na hazishughulikiwi. Ukiangalia LamuFort, hakuna maktaba ya kumbukumbu ya kisawasawa ambayo mtu anaweza akasoma. Ile maktaba yao ina kumbukumbu ndogo ya kueleza kitu fulani kimetoka wapi. Kwa hivyo, naona ni mwanzo mzuri na tunaunga mkono hii Kamati. Lakina, ina kazi nyingi ya kufanya na kwa hivyo, wahusishe mambo yote ambayo tunasema. Ahsante sana."
}