GET /api/v0.1/hansard/entries/1483268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483268,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483268/?format=api",
    "text_counter": 30,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika. Kwa sasa, watu wa Kaunti ya Kericho wanajua ya kwamba kesi yao sasa hivi iko kwa Seneti. Hoja iliyo mbele yetu ni ya kusimamisha kusikilizwa kwa kesi dhidi ya gavana ama kuimaliza wakati huu. Tumekuwa na mifano tofauti tofauti mbele ya Seneti. Kulikuwa na Kesi ya Mhe. Mike Sonko aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Nairobi City. Jambo kama hili lilitendeka lakini Seneti iliamua kusikiliza kesi yote kwa ujumla ndiposa iamue. Ninataka tuchukue uamuzi huo huo ambao ulichukuliwa wakati ule na Bunge hili. Bunge hili na Maseneta wengine sio waliokuwako lakini wale ambao wako sasa hivi wanaweza kufanya vile walivyofanya. Nyumbani huwa tunasema kuwa; “Maji hufuata mkondo” Hivi sasa, tuko na uamuzi ambao ulichukuliwa katika Seneti hii, kwamba kitendo kama hiki kikitokea, na Preliminary Objection kama hii ikiletwa hapa, wacha iwe mojawapo ya sababu ambayo tutasikiliza Motion ambayo iko mbele yetu. Kwa hivyo, turuhusu kesi hii iliyoko mbele yetu iweze kuendelea, tuweke"
}