GET /api/v0.1/hansard/entries/1483285/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483285,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483285/?format=api",
    "text_counter": 47,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw, Spika, kwa kunipa fursa hii. Kimsingi ni kwamba mawakili wa gavana wanataka masuala haya yaamuliwe kabla ya kusikiliza mashtaka ambayo yameletwa hapa na Bunge la Kaunti ya Kericho. Seneti inapokaa kuaamua masuala ya Impeachment, ni kama mahakama. Katiba yetu katika kifungu cha 159 inasema kwamba mahakama zinapokaa, haki iamuliwe bila kuzingatia masuala magumu ya procedure na t echnically . If I may read it in English is, that justice shall beadministered without a---"
}