GET /api/v0.1/hansard/entries/1483289/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483289,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483289/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Samahani Bw. Spika. Suala lililoko mbele ya Seneti ni kwamba Seneti iamue Hoja iliyofikishwa mbele yake bila kuzingatia mambo ya technicality kwa sababu tutapoteza fursa ya kutenda haki ya kimsingi. Pili, Seneti inapiga kura kwa delegation . Hili ni suala ninaloathiri kaunti na masuala yote yanayoathiri kaunti, uamuzi huwa ni kupiga kura kwa wawakilishi 47 waliopo katika Bunge hili. Bw, Spika, kwa hivyo wewe kutoa uamuzi kwamba quorum haikutimia katika Bunge la Kaunti ya Kericho, hapo utakuwa umekiuka Katiba na Kanuni za Kudumu zetu zinazosema kuwa uamuzi ufanywe na wawakilishi wa Kaunti waliopo Katika Bunge hili. Asante sana."
}