GET /api/v0.1/hansard/entries/1483878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483878,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483878/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono vile Maseneta 47 wa kaunti zote wanavyoongea. Nikiwa mwanachama wa Kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii, tumekuwa na vikao vitatu ambavyo pia vimehudhuriwa na Seneta wa Isiolo, Sen. Dullo. Kumekuwa na shida sana kwa sababu tumekuwa tukimtaka gavana wa Isiolo afike mbele ya kamati yetu aeleze vile ameajiri na kuwalipa wafanyikazi pasipo mafanikio. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}