GET /api/v0.1/hansard/entries/1483975/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483975,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483975/?format=api",
"text_counter": 68,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Specifically, he stated as follows- “A Government is like a company, there is shareholding. Kuna wale who have invested a lot of shares, kuna wale wameweka kidogo, kuna wale wamekataa, lakini wote ni Wakenya. So, ndio tukasema, kama wewe umeenda kupanda mahindi, ama wacha nipeane example ya ng’ombe kwa sababu niko Kajiado. Wewe uko na ng’ombe yako ya maziwa. Hio ng’ombe imezaliwa ikiwa njaù. Umeichunga vizuri, umepatia majani, umenunulia dairy meal, umepatia chumvi, umepeleka kwa malisho, umepatia maji, imezaa, imeanza kukamuliwa. Wewe unatakiwa kwanza ukuwe mtu ya kwanza kukamua hiyo ng’ombe na kunywa maziwa.” His Excellency Rigathi Gachagua emphasized the divisive and inciteful narrative embodied in the above utterances as follows- “Haiwezekani mtu ambaye alikuwa anakupigia kelele ukichunga hii ng’ombe, na kusema hii ng’ombe ni ile ya kienyeji hakuna haja ya kushughulika naye, hii ng’ombe ni bure haiwezi kutoa maziwa, hii ng’ombe ata ikipona jicho moja, wachana nayo unapoteza wakati. Saa ile ng’ombe imezaa imetoa maziwa, amekuja na kikombe, amekuja na sufuria, anataka atolewe maziwa. Mimi nikasema hiyo haiwezekani. Nikasema yule mwenye hii ng’ombe na kuichunga na kuitunza, kwanza akamue maziwa, yeye na watoto wake wakunywe. Ile itabaki aitie majirani. Hata yule alikuwa anapiga kelele akisema hii ng’ombe ni bure na haiwezekani kama kunayo imebaki pia apewe, kama hakuna imebaki, atembee. Si namna hiyo?” His Excellency Rigathi Gachagua made similar remarks at another public forum as follows- “A Government is like a company. I did not say it is a company, I said it is like a company. In every company, there are shares; preferential shares and ordinary shares. When there is an Annual General Meeting (AGM), non-shareholders do not vote or attend the AGM. When there are dividends to be divided, they are divided according to the number of shares. That is the truth.” His Excellency Rigathi Gachagua continued the inciteful and divisive utterances at yet another forum where he stated as follows- “Sisi lazima tungeangalia nyinyi. Hii Serikali ni kampuni na ni ya shares. Si ndio? Ni ya shares. Kuna wenye kampuni, wale wako na shares mingi, wale wako na chache. Kuna wale hawana. Sasa nyinyi mli-invest kwa hii kampuni ya William Ruto na Rigathi Gachagua. Sasa lazima mvune. Yule ambaye alipanda atafanya nini? Si mlipanda? Si mliamuka mapema?” At another forum in Nandi County, His Excellency Rigathi Gachagua continued the same divisive and inciteful narrative as follows:"
}