GET /api/v0.1/hansard/entries/1483977/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1483977,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483977/?format=api",
    "text_counter": 70,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Raia ako pale, niko hapo. Huyu Felix ako hapo. Mimi mnanijua msimamo wangu; ya kwamba, watoto wakiwa wengi, kuna wale kwanza ya kuangaliwa. Si mnajua? Sasa huyu Felix ako pale, ndiye kuunganisha mawaya. Mambo yenu tumepanga. Mambo iko sawa. Chakula iko jikoni, karibu kuiva. Watoto ni wengi, chakula ni kidogo. Iko watoto ya nyumbani, iko wa jirani. Iko namna hio. Na nyinyi mtulie. Chakula ikiiva, sisi ndiyo wenye kupakua. Na watoto tunawajua kwa sura na kwa msimamo. Hatuwezi kuwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}