GET /api/v0.1/hansard/entries/1483980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1483980,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1483980/?format=api",
"text_counter": 73,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Na mimi mkaniambia nimsaidie Rais kwa kazi. Lakini nikiwa hapo kwa serikari, nikue pia nikichunga mambo ya watu wa mulima. Niendelee kuchunga mambo ya mulima, ama nisichunge? Sasa hio kuchunga mambo ya mulima, inaniletea matatizo. Ati naambiwa mimi ni mkabila. Mimi ni mkabila kweli? Nikichunga mambo ya watu wa mlima, iko makosa? Iko makosa?” His Excellency Rigathi Gachagua’s utterances throughout the past two years undermine the promotion of national unity in the context of Kenyan society's multi-ethnic demography and multi-cultural diversity."
}