GET /api/v0.1/hansard/entries/1484114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1484114,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1484114/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Mhe. Mutuse, ulileta ushahidi hapa mbele ya Seneti ukidai ya kuwa Naibu Rais ako na shilling bilioni 5.2. Wewe ni wakili na vile ulikuwa unaongea jana, unaonekana kuwa wakili shupavu. Ulileta ushahidi gani hapa kuonyesha valuation ya hii property katika documents zako imefika shilingi bilioni 5.2? Swali la pili, ulileta mashtaka 11. Vile unasimama uko leo, unaona aibu kidogo kwamba ulileta porojo na mambo mengi kama wakili lakini haukufikiria vizuri? Watu wa Marsabit wananiuliza huyo mtu kweli ni wakili ama ni mtu amekombolewa kutoka huko? Hebu jibu hilo swali tafadhali."
}