GET /api/v0.1/hansard/entries/1484185/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1484185,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1484185/?format=api",
"text_counter": 126,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Daktari Mulwa, unadai kwamba ulipata simu kutoka kwa Naibu wa Rais kufuatilia jambo linalohusu mwanawe. Wewe kama mtumishi wa umma unapopata simu kutoka kwa kiongozi wako wa kitaifa akifuata yale yanayohusu mwanawe, unaona ni vyema kutekeleza jinsi anavyotaka ama kufuata Katiba ili kutetea yoyote aliyeomba nafasi ya kufanya kazi?"
}