GET /api/v0.1/hansard/entries/1484187/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1484187,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1484187/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Swali langu kwa Daktari Mulwa ni hili. Hii zabuni ulisema ya kwamba ilifutiliwa mbali. Je, kuna hasara yoyote ilitokea kwa Serikali ama kwa KEMSA kutoka na kufutiliwa mbali kwa zabuni hiyo? Pili, wewe kama Mkurugenzi wa KEMSA, ulichukua hatua gani ulipopata maelezo kutoka kwa Naibu wa Rais kuwa hiyo zabuni ipewe mtu fulani?"
}