GET /api/v0.1/hansard/entries/1484618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1484618,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1484618/?format=api",
"text_counter": 559,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Mhe Spika. Swali langu litaeenda kwa Bw. Abdi. Kwa sababu anayehukumiwa hapa ni Naibu wa Rais, tungetaka kujua ya kwamba kwa sababu mlifanya uchunguzi, ni kesi ngapi ama kuna kesi yeyote ambayo EACC imepeleka mahakami ili Naibu wa Rais ahukumiwe? Jambo la pili, wakati Naibu wa Rais alikua anachunguzwa katika Bunge la Kitaifa, kuna ushaidi wowote ambao wewe uliwasilisha? Kama hukuwasilisha, kwa nini umeamua kuwasilisha hapa Bunge la Seneti na sio Bunge la Kitaifa? Swali la mwisho, katita zabuni ambayo ilikuwa ni ya vyandarua vya mbu ambayo inasemekana Naibu wa Rais alihusika nayo, ile zabuni ilikuwa imeghairiwa na KEMSA,"
}