GET /api/v0.1/hansard/entries/1484620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1484620,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1484620/?format=api",
"text_counter": 561,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "kwa lugha ya kingereza na ilifaa kurudushwa. Je, hio dhamana ya zabuni ilirudishwa ama iliitishwa? Ingekuwa inasiadia Naibu wa Raisi na nini ama kungekuwa na manufaa gani ya kurudisha thamana ya zabuni kama ulivyorudisha zingine 17? Ningependa kujua hayo. Asante."
}