GET /api/v0.1/hansard/entries/1487391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1487391,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1487391/?format=api",
"text_counter": 1936,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Mhe. Mutuse, Mbunge wa Kibwezi mashariki, tufafanulie swala hili. Wakati ambapo Makamu wa Rais alikuwa anazunguka akisema anapigania haki za ‘Murima’ wewe kama Mbunge wa Kibwezi Mashariki unayetoka Gatuzi la Makueni, je ulihisi kama unabaguliwa katika nchi hii ya Kenya? Tueleze vizuri ile tuelewe."
}