GET /api/v0.1/hansard/entries/1487422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1487422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1487422/?format=api",
"text_counter": 1967,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Swali langu ni kwa Mhe. Mwengi Mutuse. Kila mtu ako na uhuru wa kuenda kortini, kuita wazee, ama kutumana. Je kuna kitu ambacho Jaji Maina alimfanyia Naibu wa Rais ndipo tuweze kuelewa mbona Naibu wa Rais aliongea kuhusu ubaya wa Jaji Maina?"
}