GET /api/v0.1/hansard/entries/1487424/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1487424,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1487424/?format=api",
"text_counter": 1969,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nina swali ambalo ningependa kufafanuliwa na wakili wa Naibu Rais. Katika kosa la kwanza ambalo ni gross violation, liko katika kipengele cha 15 katika the particulars of the allegation. Kinasema ya kwamba- “Mimi mnanijua msimamo wangu. Ya kwamba watoto wakiwa wengi, kuna wale kwanza wa kuangaliwa. Si mnajua? Chakula kiko jikoni, karibu kuiva. Watoto ni wengi, chakula ni kidogo. Tuko na watoto wa nyumbani na watoto wa jirani. Iko namna hiyo”. Ningependa afafanue Kiswahili hiki kinamaanisha nini kutoka kwa client wake."
}