GET /api/v0.1/hansard/entries/1488324/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1488324,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488324/?format=api",
"text_counter": 421,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kisauni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
"speaker": {
"id": 13383,
"legal_name": "Ali Menza Mbogo",
"slug": "ali-menza-mbogo"
},
"content": "Ni muhimu kuwe na taratibu ya vipi tutalinda chakula kuanzia pale shambani kwa hali ya ubora mpaka ifike sokoni, mahali ambapo kuna ununuzi unayofanywa kwa mazingira mazuri. Taifa ambalo liko na nguvu au liko na maendeleo ni lile ambalo watu wake wako na afya. Mara nyingi, afya hutokana na matumizi ya vyakula ambavyo wanavitumia na haswa, upandaji kuanzia shambani hadi sokoni."
}