GET /api/v0.1/hansard/entries/1488327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1488327,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488327/?format=api",
    "text_counter": 424,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Kwa hivyo,, ni sawa kukiwa na utaratibu wa kuwalinda wananchi kwa sababu wanalipa ushuru wakitegemea kuwa Serikali ina Shirika la Viwango. Wao hawajui ni kitu gani kinachoendelea. Mboga zinazopandwa mashambani, zinanyunyiziwa kemikali fulani ambayo pia inatakikana kukaa kwa muda fulani. Kemikali hiyo inafanya jani liwe kubwa kwa haraka na wakati huo huo, mboga zinatolewa shambani na kupelekwa sokoni ambapo mwananchi wa kawaida anauziwa. Unapata watoto wako na vitumbo vikubwa unafikiria kuwa wameshiba ilhali ni maradhi tu. Yote yanasababishwa na Shirika la Viwango katika Kenya. Kwa hivyo, kama Shirika hilo halina wafanyikazi wa kutosha, waseme hivyo. Hawana"
}