GET /api/v0.1/hansard/entries/1488422/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1488422,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488422/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi Kusini, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Ken Chonga",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika. Tatizo la kwanza ni kuwa familia ilifukuzwa mnamo siku ya Ijumaa tarehe 11.10.2024. Bado wako nje mpaka sasa. Wananyeshewa na hawajapata usaidizi. Pili, hili swala liko kortini. Inawezekanaje kuwa watu wanafurushwa kutoka kwa makaazi yao na kufungiwa nje ilhali swala liko kortini? Vile vile, swala la usalama limeingia kwa sababu yule aliyechukua shamba hili ameweka wakora walio na mishale, rungu na mapanga kuizuia familia hiyo isingie pale. Kwa hivyo, kulingana na zile idara husika, nimelielekeza ombi langu mahali ambapo linastahili."
}