GET /api/v0.1/hansard/entries/1488494/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1488494,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1488494/?format=api",
"text_counter": 125,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "zina madhara na sheria ya kuzipinga ilipitishwa hapa. Sijui kama watu wanaona kuwa kule kwangu ni karibu na Somalia kwa hivyo wameamua kutuwachia asbestos. Kuna nyumba za hospitali kule Kizingitini na wanaoishi pale ni madaktari. Nyumba zote hizo ziko na asbestos kwenye paa. Kingine cha kusikitisha ni kwamba contractor aliyepewa kandarasi ya kuotoa asbestos kwenye paa za nyumba katika hospitali ya Kiunga alizitoa. Nina uhakika kwamba BQ ya kandarasi hiyo inaonyesha mahali anapofaa kuhifadhi hiyo asbestos. Jambo la kushangaza ni kwamba mwanakandasi huyo aliwapatia wananchi wa Kiunga asbestos hiyo na hivi ziko kwenye private houses badala ya kuzizika pahali au kuzitupa kwa njia nzuri. Huyo contracto r The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}