GET /api/v0.1/hansard/entries/1489071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1489071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1489071/?format=api",
    "text_counter": 289,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Katika Bunge lililopita, tuliona Profesa Kindiki aliteta sana lakini mapinduzi yakamla. Lazima tujenge siasa za kusonga mbele katika nchi yetu. Tukichaguliwa kama viongozi tunafaa tuzungumze masuala ya kitaifa na sio masuala ya vijijini kwetu. Matarajio ya Wakenya wote ni kwamba tunafaa kuzumgumzia masuala ya kitaifa. Bw. Spika, napongeza Seneti kwa kuonyesha ukakamavu na umahiri mkubwa wakati tunasikiliza kesi ya Naibu Rais. Labda katika siku za usoni, tutapata fursa ya kusikiliza kesi ya Rais wa Jamhuri ya Kenya katika Bunge letu. Asante kwa kunipa fursa hii."
}