GET /api/v0.1/hansard/entries/1489944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1489944,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1489944/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Ningepenga kupongeza Kamati yetu ya Fedha na Bajeti ya Seneti kwa kazi nzuri wanayoitekeleza. Ni jambo la kuvunja moyo kwa sababu, ukiangalia, hela ambazo Kamati hiyo ilikuwa imetenga, Mswada huo ulipoenda katika Bunge la Kitaifa, walipunguza mgao huo kwa Shilingi 46.5 bilioni. Ni kana kwamba hawaelewi mambo ya ugatuzi yanavyoendelea. Hii ni kwa sababu, hakuna hela zozote zimebaki baada ya kupuguza pesa hizi kwa kiwango hiki, za kufanya majengo ambayo yalipaswa kujengwa katika"
}