GET /api/v0.1/hansard/entries/1489946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1489946,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1489946/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "zetu. Vile vile, ukitembea katika gatuzi zetu zote, barabara ziko katika hali mbovu kwa sababu mvua imeziathiri lakini Bunge la Kitaifa hawana njia ya kuangalia. Wanapunguza fedha ambazo zinaenda katika gatuzi zetu shilingi 10.5 bilioni. Kwa hivyo, ukitembea katika gatuzi zetu utapata hakuna Barabara. Vile vile, kwa sababu tunategemea fedha hizi kununua madawa, hospitali zetu hazina madawa. Watu hawajalipwa, ilhali kazi yetu kama Seneti ni kulinda na kutetea gatuzi zetu. Kwa hivyo, hatutakubaliana na mtu yeyote atakayekuwa kazi yake ni kupunguza fedha ama kuonyesha kana kwamba yeye anapigana na ugatuzi. Bw. Spika, Kamati yetu ilijitolea kuleta maendeleo katika sehemu zetu za mashinani. Unapata kuna viwanda vidogo vidogo ambavyo vilipaswa vitengenezwe. Kwa mfano, ukitembea Rumuruti, tayari tulikuwa tumetenga sehemu ambayo itatumika The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}