GET /api/v0.1/hansard/entries/1489947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1489947,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1489947/?format=api",
"text_counter": 92,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "kutengeneza hizi viwanda vidogo. Hata hivyo, pesa ambazo ziliwekwa na Kamati yetu, Shilingi 5.2 bilioni zilipunguzwa mpaka Shilingi bilioni mbili. Kwa hivyo, ile miradi ambayo ingetekelezwa kutumia fedha hizo imepungua na hata mengine haitaketekelezwa. Kwa hivyo, ningependa kusema ya kwamba, hii Kamati yetu ya Seneti ilifanya kazi nzuri lakini wenzetu wa Bunge la Kitaifa wanaonekana ya kwamba wanapinga ugatuzi usiendelee. Nafikiri pengine wanapinga ndio ili National Government Constituencies Development Fund (NG-CDF) yao ifanye ile kazi ambayo ingefanywa na magavana, ila hatutakubali. Wale wasaidizi wa wauguzi pale nyanjani, wanaoitwa Community Health"
}