GET /api/v0.1/hansard/entries/1490593/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1490593,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1490593/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Tuna shida nyingi sana katika sekta ya sukari haswa kule Kwale. Juzi nilisema katika mkutano kwamba kama mwekezaji huyo ameshindwa na kiwanda hicho, basi aletwe mwekezaji mwingine ambaye ataweza kuendesha kiwanda hicho ili wananchi wapate manufaa. Kinachofanyika ni kuwa huwa kuna mgomo baada ya miezi miwili ama mitatu kwa sababu ya usimamizi mbaya. Kwa hivyo, mimi ninaunga mkono hii Bill. Kwa hayo machache, asante sana Bw. Spika."
}