GET /api/v0.1/hansard/entries/1490767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1490767,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1490767/?format=api",
"text_counter": 82,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Nafurahi sana kwa kuwa tunafahamu kwamba tunaye Deputy President anayeitwa Abraham Kithure Kindiki. Nafahamisha Seneta wa Kitui, rafiki yangu anayetarajia kuwa gavana wa 2027, kuwa ni lazima Wakenya wajue ni ukweli kwamba ni yeye mteule na hangeweza kuja hapa kuzungumza kama Waziri wa Mambo ya Ndani na Utawala wa Kitaifa. Kama Kenya, tuko na furaha---"
}