GET /api/v0.1/hansard/entries/1490770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1490770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1490770/?format=api",
    "text_counter": 85,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ni vizuri kusherehekea kwa sababu tuko na Deputy President mpya. Wale wanajiita Mt. Kenya West mpaka mkubali tuko kwa serikali ya muungano. Sio serikali ya chama hii au ile bali ya Kenya nzima tukiwa kaunti arubaini na saba. Ni mpaka tukubali yaliyotokea. Mtuunge mkono ili aapishwe. Hiyo ndiyo tunangoja kwa sababu hakuna kitu kingine. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, ninaunga mkono."
}