GET /api/v0.1/hansard/entries/1491435/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1491435,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1491435/?format=api",
    "text_counter": 206,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Pia, kule kwenye hazina ya kaunti ni vizuri pia waziri wa kaunti apewe nafasi atoe pesa kwa niaba ya county assembly na executive. Naunga mkono Mswada huu wa kuhakikisha mabunge yetu ya kaunti yamepewa nguvu za kufanya kazi. La mwisho kabisa---"
}