GET /api/v0.1/hansard/entries/1491437/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1491437,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1491437/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nitamalizia kwa kusema kuwa, hata tukiwapatia wawakilishi wa kaunti Ward Fund, tukubaliane kuwa kazi ya gavana ni kufanya miradi na wawakilishi wa bunge la kaunti kazi yao ni uangalizi. Hivi sasa hakuna tofauti ya mwakilishi wa bunge la kaunti na waziri. Wawakilishi wa kaunti vile vile wanafanya miradi. Wabunge wa Bunge la Kitaifa wanafanya miradi ya National Government –"
}