GET /api/v0.1/hansard/entries/1491498/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1491498,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1491498/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Nilipomwuliza Douglas Kanja aliniambia ni asilimia sitini pekee ya jiji la Nairobi ambalo lina hizi kamera za CCTV. Kwa nini isiwe asilimia nia moja kwa sababu tuliambiwa kwamba mfumo huo wa CCTV ulikuwa umeimarishwa hapa jijini? Namalizia kwa kutoa pole zangu kwa familia hizi zote ambazo zimeathirika, na kuwahaidi kwamba, for as long as tuna sauti kama viongozi, tutazidi kutumia sauti zetu kuhakikisha kwamba haki inatendeka na wale ambao wamehusika wanaletwa mbele ya sheria. Asante."
}