GET /api/v0.1/hansard/entries/149256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 149256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/149256/?format=api",
"text_counter": 522,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Jambo la pili ni kwamba, chakula watakacholima kitawalisha Wakenya, hasa wakati wa kiangazi. Wakati huu Serikali yetu inahangaika kulisha wananchi wake. Kama wafungwa wetu wangefanya kazi mashambani, basi tungekuwa na chakula kingi hapa"
}