GET /api/v0.1/hansard/entries/1494209/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494209,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494209/?format=api",
"text_counter": 646,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nakuru County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Liza Chelule",
"speaker": null,
"content": "ndio ya mwisho katika utaratibu wa uongozi nchini Kenya. Ripoti tuliyoileta hapa ni ya kueleza kila mmoja ya kwamba kuna shida, na kama viongozi, tunafaa kuirekebisha. Kwa niaba ya watu wa Nakuru na wananchi wote wa Kenya, ningependa kuomba Wabunge wenzangu tusaidiane na tuhakikishe ya kwamba taarifa imefika mashinani, na tutekeleze Kipengele cha 232 cha Katiba yetu. Kwa hayo machache, Mhe. Spika wa Muda, ahsante sana kwa fursa hii kuchangia Ripoti hii kuhusu ugavi wa kazi nchini Kenya. Ahsante."
}