GET /api/v0.1/hansard/entries/1494222/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494222,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494222/?format=api",
    "text_counter": 659,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sotik, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Francis Sigei",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, ningependa pia kuchangia mjadala huu kuhusu Ripoti ya Kamati siku ya leo. Ningependa kwanza kushukuru Kamati kwa kazi iliyofanya. Wamechukua muda mrefu kutafuta information na mambo yaliyotakikana katika hii Ripoti. Mimi ningependa kuunga mkono mjadala huu, na kuipongeza Kamati. Mhe. Spika wa Muda, ningependa tujue kwamba Kenya imebadilika. Katiba ni tofauti, na watu ni lazima wawajibike na wahakikishe kwamba mambo yalio kwenye Katiba yanatimizwa ipasavyo. Mhe. Spika wa Muda, naunga mkono."
}