GET /api/v0.1/hansard/entries/1494358/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494358,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494358/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, pili, nachangia katika taarifa ya ndugu yangu Sen. Cherarkey. Mimi kama Mwanakamati wa County Public Investments and Special Funds Committee (CPISF) tumekuwa tukiita magavana mara kadhaa. Kama tulivyozungumza awali, tunapowaita magavana kama hawa kuwauliza maswali, sio kwa nia mbaya. Kusudi ni kuweka uwazi katika yale mamlaka tumepewa na Seneti."
}