GET /api/v0.1/hansard/entries/1494359/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494359,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494359/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kwa mfano, tumewaona Seneta wa Isiolo na wa Kisii. Magavana ambao tumekuwa tukiwaita katika Kamati yetu ya Leba na Ustawi wa Jamii, ama CPISF wanakataa kisha wanaenda kwa mitandao ya kijamii kusema kwamba hawatakuja kwa sababu ya tetesi za kisiasa. Sisi hatuko hapa kisiasa. Tuko na majukumu kama Maseneta wa Taifa la Kenya kuona zile pesa tunatetea kwenda kwa kaunti zetu 47 zinatumika kwa usawa na yale mapendekezo tunawapa, wanayafanyia kazi. Hatuna sababu nyingine."
}