GET /api/v0.1/hansard/entries/1494371/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494371,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494371/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Bw. Spika, haitawezeka kuwa Wakenya ambao wanadai kila siku ushuru unapanda lakini unaporudi katika mikono ya magavana, wao ni kufurahia na tunapowaita wanasema wako katika safari za ng’ambo. Mimi najua ng’ambo ni sayuni peke yake. Iwapo wanataka kwenda sayuni, tuonane baadaye. Kunao wanaohudumia Wakenya na ni lazima waje wabebe misalaba yao na kwa vinywa vyao wakiri dhambi zao. Iwapo wana makosa, lazima wabebwe hobela hobela na kuwekwa korokoroni."
}