GET /api/v0.1/hansard/entries/1494372/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494372,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494372/?format=api",
    "text_counter": 89,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wafula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 348,
        "legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
        "slug": "davis-nakitare"
    },
    "content": "Naambia magavana popote walipo kwamba tunafungua ukurasa mpya wa ugatuzi Kenya hii. Kama hawanioni wataambiwa tuliyoyasema. Unapopewa pesa nyingi, uwajibikaji ni wa hali ya juu. Tutawaandama kushoto na kulia, kwenye handaki na mlimani, kote tutafika ili ugatuzi--- Sisi ni wasanii wa nyimbo za mavoka, halmashauri tunasema, “tutaanguka na wao”. Tukishaanguka nao, “ tutafinish kumalo ”. Hiyo ndiyo lugha vijana mashinani wanaelewa. Kwamba ni lazima ugatuzi ufanye kazi na magavana wawajibike. Ndugu yangu wa Migori, ni lazima tufanye kazi."
}