GET /api/v0.1/hansard/entries/1494802/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494802,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494802/?format=api",
"text_counter": 35,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "nafasi hata iwapo wiki ijayo ili waje wajieleze kinagaubaga na tufunge ukurasa wa changamoto hizi na tusonge mbele. Mwisho, hawa ni mawaziri wapya. Ni ufagio ambao lazima uanze kufagia na kutengeneza serikali. Tuwape nafasi japo tuna hasira. Hasira za mkizi ni furaha kwa mvuvi na sisi sio wavuvi. Sisi ni Jumba la Seneti linalopenda watu wote. Tuwape wote nafasi kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba na yale yanayoweza kufanyika kibinaadam. Asante."
}