GET /api/v0.1/hansard/entries/1494808/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1494808,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494808/?format=api",
    "text_counter": 41,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Naibu Spika nina huzuni. Naomba unipe nafasi niongee kwa sababu rafiki yangu, Bw. Wakoli, ameongea akamaliza. Nina huzuni na nataka nisaidiwe. Kuna mtu anaitwa John Muturi Mugo aliuawa na ndovu jana na leo mvua inanyesha. Waziri wa Utalii na Wanyamapori angekuwa hapa leo. Nina huzuni pia kuhusu mambo ya Social Health Authority (SHA ) na Social Health"
}