GET /api/v0.1/hansard/entries/1494810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1494810,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1494810/?format=api",
"text_counter": 43,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kuna mtu ametimuliwa na watu wanakufa na wengine wanaugua hospitalini. Nakataa yale mambo Maseneta wanapinga. Ningetaka hawa watu wachukuliwe hatua kali kwa sababu kuna Katiba ya kufuatwa katika Serikali ya muungano. Asante."
}